archiveAndres Iniesta

La LigaMabingwa Ulaya

Iniesta atuma salamu za kheri kwa swahiba wake.

Kiungo wa timu ya Vissel Kobe ya Japan Andres Iniesta amemshukuru na kumtakia kheri mchezaji Xavier Hernández Creus ‘Xavi’ ambaye ametangaza kustaafu kucheza soka la kulipwa mwishoni mwa msimu huu. Iniesta ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa anajivunia kukua na kucheza pamoja na kiungo Xavi katika timu ya Taifa...
Blog

Iniesta kumfuata Podolski

Nyota wa Uhispania Andres Iniesta anatarajiwa kutangaza ndani ya siku mbili zijazo kujiunga na klabu ya Vissel Kobe ya nchini Japani baada ya kutangaza kustaafu katika klabu yake ya Barcelona. Iniesta ambaye angeweza kukaa Barcelona licha ya umri wake kusogeza, anaweza kufuata njia ya mchezaji mwenzake Xavi ambaye naye alijiunga...
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz