BlogKaseja kakataa kuwa Kaseke, akakataa kuwa Singano, akabaki kuwa KasejaAbdul Mkeyenge19/06/2019Sitaki kutaka maji mengi ya watu. Jikumbushe kuhusu Said Bahanuzi. Nani anajua aliko? Binafsi sijui kama kaacha soka au anafanya kazi gani.