ZamaniKisanga cha Ferguson kumpiga na kiatu Beckham!Henry Hamis2 years agoBeckham akahamaki na kunyanyuka ili amzingue babu Fergie, lakini wachezaji wakamzuia asimchape mzee wa mabigijii.