Said Ndemla amefufuka amekua Paul Scholes mpya!
, kama alipata kumuona labda kuna vitu alicopy kwake, kwa kile nilichokiona kwake jana akili yangu ilihama na kudhani Scholes amerejea kucheza soka.
Scholes na siku 31 Oldham, fahamu wengine wenye rekodi kali zaidi.
Kiungo wa zamani wa Manchester United Paul Scholes ameingia kwenye rekodi ya makocha ambao wamezitumikia timu zao kwa kipindi kifupi...