EPLCech arejea Chelsea bila ya ‘Helmet’ yake!Issack John5 years agoMlinda mlango wa zamani wa Timu ya Taifa ya Czech, Peter Cech amerejea tena katika viunga vya jiji la London karibu kabisa na daraja la Stanford.