ZamaniGoli la dhahabu na kifo kilichoandaliwa kwa Wataliano!Henry Hamis2 years agoNaweza kusema angalau sasa zama zimebadilika kwa kiwango kikubwa, lakini zamani kidogo ukicheza na mwenyeji basi jiandae kupita njia ya mateso ya Golgotha