BlogHatimaye Tottenham yavunja rekodi hii ya Barcelona.Sekwao Mwendi12/12/2018Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka barani ulaya bila shaka,utakuwa unaijua Barcelona, klabu kubwa na yenye mafanikio makubwa barani ulayana duniani kwa ujumla.