BlogNdidi: Mtoto wa jeshi aliekataa amri ya baba!Mselemu Kandanda07/05/2020Ndidi ana umri wa miaka 23, na bado yuko fiti hivyo ni hazina kwa timu yake ya Taifa Nigeria "Super Eagles" na klabu yake pia ni mchezaji muhimu kikosini.