Wababe wa Zamaleki Wazikwa na Yanga
Zanzibar ndiyo ilikuwa sehemu yao ya kwanza kuanza safari yao na Ethiopia ikawa safari yao ya mwisho kwenye michuano hii...
Yanga bila Migomba yaifuata Dicha
Kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu Migomba hayumo kunako kikosi cha Yanga sc, kilichoondoka leo kuelekea Hawassa, nchini Ethiopia tayari kwa mchezo...
Hawa ndio wababe wa Zamalek, Yanga atatoka?
"Mzarau mwiba Mguu huote tende"........huo ni usemi wa kiswahili ambao Wahenga walituachia kwa lengo la kutoa elimu ama mafunzo, juu...
Naiona taswira ya Township Rollers kwenye picha ya Wolaita Dicha
Kupangwa na timu kutoka Ushelisheli ilikuwa furaha kubwa kwa Yanga kwa sababu furaha yao waliitengeneza kutokana na historia yao ya...
Yanga sc yapewa kiboko ya Zamalek
Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, watavaana na klabu ya Walayta Dicha ya Ethiopia katika mchezo wa mchujo wa...