archiveUhuru Stadium

JKT Tanzania SC vs Simba SC

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara wanafungua ligi kwa kuanza na JKT Tanzania ambayo katika msimu uliopita Simba ilipata alama zote sita. Usajili imara wa Simba na JKT Tanzania pia maandalizi yao, mechi inaweza kuwa ya kuvutia zaidi. Lakini kwa mwenendo huu tunampa Simba alama zaidi....
1 2 3
Page 1 of 3
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz