EPL

Manchester city yajawa na matumaini ya kunasa saini ya Ronaldo.

Klabu ya soka ya Manchester City ya England imepata matumaini ya kumsajili kinda wa Benfica ya Ureno Ronaldo Camara ambaye anawaniwa na vilabu vingine vikubwa ikiwemo Barcelona na Manchester United. Kinda huyo mwenye umri wa miaka 16 ni miongoni mwa wachezaji wanaotajwa kuwa tishio katika siku za usoni kwani tayari...
Mataifa Afrika

Katika dua zetu tusimsahahu mchizi Cape Verde.

Mwaka 1980 fainali za 12 za mataifa ya Afrika zilikuwa zinafanyika nchini Nigeria na kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano hii Watanzania tulipata nafasi ya kupeleka timu baada ya Peter Tino kutufungia bao muhimu sana pale mjini Ndola Zambia bao lililotupatia ticket ya kushiriki michuano hii baada ya...
Ligi Kuu

Habari za hivi punde: Mayanga wa Taifa Stars atua Mbao FC.

Klabu ya soka ya Mbao ya jijini Mwanza kupitia ukurasa wake wa Instagram imemtangaza kocha Salum Mayanga kuwa kocha wake mkuu ikiwa ni siku chache baada ya kumtimua Kocha Ally Bushiri aliyekuwa akishikilia mikoba hiyo. Kabla ya kibarua hicho, Mayanga alikuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa mabingwa wa kombe la FA...
Blog

Alexander-Arnold aondolewa kikosini England.

Beki wa kulia wa timu ya soka ya Liverpool Trent Alexander-Arnold ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya England baada ya kupata maumivu ya mgongo ambapo kwa mujibu wa taarifa ya England ni kuwa alifika kambini akiwa na maumivu hayo lakini juhudi za kumtibu kwa haraka ziligonga mwamba.. Arnold ambaye aliitwa...
Mataifa Afrika U17

FERWAFA kuipa mazoezi mengine Serengeti Boys

Shirikisho la soka nchini Rwanda (FERWAFA) limethibitisha kuialika Tanzania kwenye mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17, mashindano ambayo yatashirikisha timu tatu pekee. Mashindano hayo yaliyopewa jina la Under 17 Mini-tournament yanatarajiwa kuanza Machi 28 na kufikia tamati April 4, 2019kwenye uwanja wa Stade de Kigali mjini Kigali, ...
Blog

Maajabu!!!, nchi tisa zaomba uwenyeji kombe la Dunia 2023.

Kwa mara ya kwanza toka mashindano ya kombe la dunia yalipoasisiwa mwaka 1991, nchi tisa wanachama wa Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA wameomba kuandaa mashindano hayo kwa mwaka 2023. Tayari nchi za Argentina, Australia, Bolivia, Brazil, Colombia, Japan, New Zealand na Afrika Kusini wameomba kuwa wenyeji huku nchi za Korea...
Mataifa Afrika

CAF yaitolea nje Liberia, licha ya tishio la Ebola.

Shirikisho la soka barani Afrika limetupilia mbali ombi la Liberia kubadilisha uwanja utakaotumika kwenye mchezo wao wa kuwania nafasi ya kushiriki kwenye michuano ya Mataifa Afrika dhidi ya DR Congo kutokana na tishio la ugonjwa wa Ebola. Shirikisho la soka nchini Liberia liliandika barua ya maombi ya kubadilisha uwanja kwenda...
1 3 4 5 6 7 34
Page 5 of 34