Pape Sakho ameshinda tuzo kwa mengi, si tu goli zuri!
Nikirejea aina ya goli la “Acrobatic” nilishawahi kulizungumza kwenye aina ya tuzo za Puskas sina mashaka hata kidogo.
Nikirejea aina ya goli la “Acrobatic” nilishawahi kulizungumza kwenye aina ya tuzo za Puskas sina mashaka hata kidogo.
Nyota wote hao wawili wanakwenda kuongeza nguvu katika kikosi cha Ihefu mabingwa wa Ligi ya Championship msimu uliomalizika
Ukitazama video zake kama ambavyo zimesambaa mitandaoni utaakisi hili ninachokisema na kusadiki ni aina gani ya mchezaji ambae Simba imemsajili.
Na Simba wakapata fedha nyingi kwa mauzo yake endapo atashine na kuhitajika kwenye timu nyingine
Kila shabiki haamini katika wazawa, sasa nani atawaamini? (Inafikirisha).
Imagine hali hii ingekuwa mtaani kote na kumhusu kila mmoja nani angepona.
Ligi kwa ujumla ilikuwa ngumu na yeye kusisimua licha ya bingwa kupatikana mapema lakini kiwango cha ushindani kilikuwa kikubwa hadi dakika ya mwisho.
Binafsi hii ndiyo michezo mikubwa miwili ninayoiangalia kwa jicho la uoga kwa kuwa ina maamuzi na hatma ya timu. Fiston Mayele na George Mpole!?
Tuandikie jina lake na kwanini unadhani anastahili kuwa mchezaji bora wa msimu.
Sakho amejiunga na Simba akitokea klabu ya Teungeuth Fc ya nchini kwao Senegeal alipotoka kua mchezaji bora wa msimu.
Anapatikana. Ana hamu ya kuja Afrika Kusini. Yuko wazi kwa fursa yoyote ya kuja kufanya kazi Afrika Kusini,