Simba inaenda kukutana Tp Mazembe katika mchezo wa kwanza jijini Dar es salaam huku ikiwa na kumbukumbu nzuri baada ya kuwafunga Wacongo wenzao AS Vita katika dimba hilohilo la Taifa.
"Naomba niwape UPDATES za BUNJU baada ya Wiki 2 Uwanja wa Mazoezi utakuwa Tayari baada ya TAKUKURU kuziachia NYASI hizo baada ya Kukamilika kwa Uchunguzi wa Kesi ya Msingi"-CEO Crescentius Magori