Rayon, USM Alger wapenya Yanga, Gor wakiaga Shirikisho
Mabingwa wa soka kutoka nchini Rwanda wameungana na USM Alger kufuzu katika robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kuwachapa Dar Young Africans kwa bao 1-0 katika mchezo wa mwisho wa kundi D la michuano hiyo. Rayon ambao waliingia katika mchezo huo wakiwa na uhitaji mkubwa...