Mbao: Tunaimani kubwa na Ally Bushiri.
Klabu ya soka ya Mbao ‘Wabishi’ umewatoa hofu baadhi ya mashabiki wa timu hiyo, wenye wasiwasi na uwezo wa kocha...
Amri Said; Sipo tayari kufanya kazi na Bushiri
Licha ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Mwadui FC kuhitimisha michezo kumi mfululizo bila ushindi katika ligi kuu Tanzania Bara kocha mkuu wa Mbao FC, Amri Said ‘Stam’ amesema hawezi kukubali ujio wa kocha Ally Bushiri.
Huku wachezaji wakidai mishahara, Stam kuondoka Mbao FC, Bushiri kuchukua nafasi.
Licha ya udhamini walionao bado Mbao FC ipo katika hali ngumu pia.