BlogDani Ceballos nyongeza ya Ozil kwa Arsenal kutoka Madrid.Ze Mafia4 years agoTupilia mbali mbwembwe za mashabiki wa Arsenal sijui Lacanyavu,Auba,Xhaka boom, na wengine, hapo 2013 dunia ilizizima baada ya Mesut Ozil kutua rasmi kwa washika mtutu wa pale London.