La Liga‘Maradona’ ajiunga na RCD Espanyol.Issack John5 years agoAkiwa katika ligi kuu nchini Uchina aliiwezesha klabu ya Shanghai SIPG kutwaa ubingwa msimu uliopita akifunga mabao 27 na pia kutwaa kiatu cha mfungaji bora.