BlogMh. Magufuli abadili jina la uwanja wa Taifa!Thomas Mselemu4 years agoUwanja huo ulijengwa katika awamu ya pili ya uongozi marehemu Benjamin Mkapa na kuanza kutumika mwaka 2007. Mpaka sasa uwanja huo unashika nafasi ya 11 kwa ukubwa barani Afrika.