England ndiye mfalme wa Ulaya.
Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka kumi, nchi moja imefanikiwa kuingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya...
Mwinyi Zahera ana U-Mourinho!
Hapa ndipo alipofanikiwa, aliweka sumu kali sana. Sumu ambayo iliwafanya wachezaji wawe na uwezo wa kupigana sana.Leo hii vizazi vinaikumbuka Fc Porto ya Jose Mourinho. Timu ambayo ilikuwa haitazamwi kwa kiasi kikubwa.