TetesiHiki Hapa Chuma Kipya cha Yanga.Mwandishi Wetu11 months agoKwa mujibu wa chanzo makini, klabu ya Yanga imekuwa ikimfuatilia beki huyo na kumtazama kwa karibu wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu AFCON