Ligi KuuAzam yathibitisha kumpiga bei Yahya Zayd nchini Misri.Issack John07/01/2019Yahya anakuwa mchezaji wa pili ndani ya muda mfupi kutoka Azam kujiunga na timu za nchini Misri baada ya kiungo Himid Mao kujiunga na Petrojet mwaka jana,