StoriSimba Bila Manula? Ngoja TuoneTigana Lukinja10 months agoHii ilikuwa lazima ifanyike tena kwa uharaka mkubwa. Ally Salim na Feruz ilikuwa karata ngumu sana kwa Simba SC kuicheza kuelekea Msimu mpya wa mashindano.