Michuano ya SportPesa kuhitimishwa Jumapili, nani kuibuka na ubingwa?
Kama ilivyokuwa kwa msimu wa kwanza ambapo timu kutoka Kenya Gor Mahia na AFC Leopards walicheza kwenye ardhi ya Tanzania kutafuta mshindi
Imekua ni vita ya Tanzania na Kenya sasa.
Vita ya kuwania kucheza na Everton imekua ngumu na kuhamia kati ya nchi na nchi.
KK Sharks: Tuliwasoma Yanga mapema.
Kariobangi wamekata tiketi ya kucheza nusu fainali baada ya kuwachapa Yanga kwa mabao 3-2 leo kwenye uwanja wa Taifa katika michuano ya SportPesa Cup.
Zahera aukubali mziki wa Sharks, msikie hapa.
Yanga imeshindwa kwa mara nyingine kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Cup baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Kariobangi Sharks ya nchini Kenya.
Super Cup: Simba kuanza na Leopards, Yanga wapewa Kariobangi.
Ikumbukwe kuwa bingwa wa michuano hii atapata nafasi ya kucheza na timu ya Everton kutoka nchini Uingereza katika tarehe ambayo itapangwa hapo baadae.