SportpesaSuper Cup: Simba kuanza na Leopards, Yanga wapewa Kariobangi.Issack John07/01/2019Ikumbukwe kuwa bingwa wa michuano hii atapata nafasi ya kucheza na timu ya Everton kutoka nchini Uingereza katika tarehe ambayo itapangwa hapo baadae.