Ole apewa rasmi usukani wa Manchester United.
Klabu ya soka ya Manchester United imemtangaza kocha Ole Gunnar Solskjaer ambaye alikuwa akikaimu nafasi ya umeneja toka kuondoka kwa...
Molde watoa msimamo mkali kwa Ole Gunnar.
Mwisho wa makubaliano ni May 12 mwaka huu, huo ndio mpango A na Mpango B sisi hatuna Mpango C kuhusu hilo,