Madrid yatenga zaidi shilingi bilioni 930 kuwanasa wachezaji hawa ….
Kwa ushirikiano na Rais wa klabu hiyo Florentinop Perez, tayari wameshatenga Paundi millioni 300 zaidi ya shilingi bilioni 930 za kitanzania kwa ajili ya usajili mpya katika dirisha la usajili la kiangazi
Mashabiki wanne wanaswa kwa ubaguzi wa rangi Chelsea.
Klabu ya Chelsea imebaini vitendo vya ubaguzi , nauchunguzi zaidi unaendelea lakini kama vitabainika dhahiri vitendo hivyo kuwani vya ubaguzi wa rangi kama klabuitachukua hatua kali zikiwemo za kuwafuta uanachama na kuunga mkono sheria zakiserikali kuchukua mkondo wake juu ya suala hilo