TetesiNdemla huku Tshishimbi kulee!Mselemu Kandanda26/03/2020Simba wameonyesha matamanio na kiungo huyo Mkongo huku msemaji wao Hajji Manara akikiri hadharani kuhusudu uwezo wake akisema ni moja ya "box to box midfielder.