Ilikuwa Simba wacheze na Yanga ili kufahamu nani atacheza na Sevilla lakini baada ya kuangalia mambo kadhaa wamekubaliana na SportPesa kuwa Simba ndio wanaopaswa kucheza na timu hiyo kutoka Uhispania.
Si tukio la kawaida sana katika soka lakini limejitokeza katika mechi ya Simba na Leopard. Chama alizozana na mwamuzi baada Mzamiru Yasin kumfanyia rafu mchezaji wa Leopard,