Bado unamtaka Kamusoko? Zahera ameisaini Yanga SC ‘ya kitaalam’, itatisha….
Kiujumla hadi sasa Yanga imesaini vizuri wachezaji wapya na kikosi hicho kinaonekana kinaweza kurejesha ubingwa waliopoteza kwa misimu miwili mfululizo kwa mahasimu wao Simba.
Kamusoko aaga, atakumbukwa kwa vitu vingi..
penati aliyomfunga Aishi Manula katika mchezo wa ngao ya jamii, mwaka 2017? “PANENKA PENALTY GOAL” licha ya Simba kuibuka na ushindi lakini penati ya fundi huyo ilionekana kuwa bamba wengi