BlogKagere apandishwa mzuka na Mashabiki.Sekwao Mwendi5 years ago“kwetu mashabiki sio mchezaji wa 12 kama ulivyo msemo wa Kiswahili, bali ni mchezaji wa kila nafasi uwanjani, tunashinda, tuna kikosi bora lakini mashabiki wanachangia sana..”