archiveNangwanda

Ndanda FC vs Stand United

Ni Matanga vs Mbonde, ambao wote kwa sasa wamefunga mabao matatu kila mmoja. 25/01/2018 Stand United 0 - 1 Ndanda FC 28/05/2018 Ndanda FC 3 - 1 Stand United Msimu uliopita Stand hakuambulia hata pointi moja, na alipigwa 3-1 katika uwanja huuhuu, je leo atatoka salama?...

Ndanda FC vs Simba

Bocco, Okwi ni nani atakayempisha Kagere ili Simba ibalansi kiuchezaji? Aussems presha inaanza leo KOCHA mkuu wa Simba SC, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji bila shaka ana kikosi kipana, lakimni kuanzia leo Jumamosi naweza kuanza kuona presha kubwa ikielekezwa kwake. Atapata presha kutoka kwa wachezaji wake watatu wa nafasi ya...
1 2 3 4
Page 3 of 4
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz