Uliwaona Ajib na Niyonzima walivyocheza pamoja ?
Ibrahim Ajib na Haruna Niyonzima ni watu wengine ambao wanaweza kuifanya dunia izungumze lugha moja kama wakicheza pamoja.
Ibrahim Ajib na Haruna Niyonzima ni watu wengine ambao wanaweza kuifanya dunia izungumze lugha moja kama wakicheza pamoja.
Wewe unaonaje kauli hii kama mdau mkubwa wa soka nchini? Unakubaliana nayo au unapingana nayo kwa sababu zipi ?
Klabu ya Yanga katika kujijenga, imeonyesha nia ya kumsajili Shikalo, ili kijijenga katika nafasi ya goli.
Hiki ndicho kinachouma, treble inaonekana kitu cha kawaida na Azam FC hawaumizwi na hiki kitu kabisa, Azam FC hawana timu ya masoko na chapa ya klabu?
Klabu ya Simba ambayo itashiriki michuano ya ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao, inajiimarisha kuhakikisha inafanya vizuri zaidi.
Unaikumbuka picha ya pondamali na vazi lake ?. Kwa kifupi hakukuwepo na mpangilio mzuri wa mavazi kwa wachezaji na benchi nzima la ufundi.
Huwezi kuingia na kuishi kwenye dunia hii kama hujaruhusu akili kufikiria kibiashara, macho kuona kibiashara na masikio kusikia kibiashara.
Maandalizi ya msimu ujao, kujihakikishia wanaleta upinzani mzito katika soka la Bongo
Harakati za usajili katika klabu ya Yanga zinaendelea kwa kasi kubwa, baada ya msimu uliomalizika kuwa na kikosi hafifu Yanga wanapigana ili wawe na kikosi ambacho ni imara.
Baada ya TP Mazembe kuachana na usajili wa Ibrahim Ajib Migomba wiki hii kwa madai ya kutoelewana wao na mchezaji.