Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Taarifa kutoka TFF kuhusiana mechi daraja la kwanza

Kwanza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)  linapenda kumpongeza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.Harrison Mwakyembe kwa ufuatiliaji wake wa karibu wa michezo ikiwemo Mpira wa Miguu. Baada ya mechi za Ligi Daraja la Kwanza (FDL)  Dodoma FC vs Alliance na Biashara vs Pamba kuliibuka malalamiko mengi ambayo...
Blog

Samue Samuel: Mawazo yangu juu ya Soka Letu

Mohamed Rashidi wa Tanzania Prisons ana goli 6 ligi kuu katika michezo 11 lakini humuoni si Taifa Stars au Kilimanjaro Stars. Kushindwa kuthamini changamoto ya vijana wengine nje ya Simba, Yanga , Azam na wachezaji wa nje ni jambo lingine linaloturudisha nyuma. Vijana hawa tungekuwa tunawaweka katika mizani sawa na...
Blog

Kandanda Day 2017 yakabidhi zawadi kwa washindi siku ya Uhuru.

Kamati ya maandalizi ya Kandanda Day 2017, tamasha la mpira wa miguu linalofanyika kila mwaka mwezi wa kumi, limekabidhi zawadi ya jezi kwa klabu ya wachezaji wenye umri chini ya miaka 13 ya Bombom FC. Bombom FC waliibuka mabingwa katika mchezo wao uliofanyika tarehe 22/10/2017 katika viwanja vya chuo kikuu...
Blog

Majaribio ya Wachezaji Jinsia Zote Umri Miaka 6 – 20

Ivo Mapunda sports center kwa kushirikiana na chama cha soka mkoa wa dar es salaam (drfa) kwa pamoja wanakuletea majaribio ya wachezaji jinsia zote mwezi wa kwanza mwanzoni wa mwaka 2018 kwa wachezaji kuanzia umri wa miaka 6 – 20. Mchezaji ili aweze kushiriki majaribio haya anatakiwa kujaza fomu ambayo...
Blog

Alhaji Ismail Aden Rage, Hakuna mjinga mwenye ujinga mtupu.

Athuman Idd Chuji ni shujaa kweli kweli, Mwaka 2011 alipopata Matatizo na timu yake ya Yanga aliamua kuvuka barabara na kuelekea Simba SC na kusajili kwa ajili ya msimu mpya na mashindano ya Kagame Cup, hili lilitokea japo mwaka 2008 Usajili wake wa Utata toka Simba kwenda Yanga ulizua sintofahamu...
1 75 76 77
Page 77 of 77
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz