Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Amunike ajianika Ugenini

Tanzania ilikuwa mgeni wa Uganda ambayo imekuwa na matokeo mazuri nyumbani kwao. Ulikuwa mtihani mgumu sana wa kwanza kwa Emmanuel Amunike, lakini kwa kiasi kikubwa anastahili pongezi. Kipi alichokionesha katika mechi yake ya kwanza ya ugenini ? Kwanza mfumo wake ulikuwa tofauti na mfumo ambao wengi tulikuwa tunautegemea ambao aliamua...
Blog

Hiki hapa kikosi cha kwanza cha Stara kwa Mwalimu Amunike!

Mwalimu Mnigeria Emmanuel Amunike  kwa mara ya kwanza anaiongoza Taifa Stars katika mchezo wa mashindano dhidi ya Uganda  huku akiwaanzisha wachezaji wote wanaocheza nje katika eneo la ushambuliaji! Mwalimu anaenda kutumia mfumo wa 3:5:2 ambao umepata umaarufu kwa siku za karibuni hapa nchini. Kikosi kamili kipo hivi: 1. Aishi Manula...
Blog

Ushindi wa Stars huu hapa! Waganda ‘watapata tabu sana’!

Inawezekana mechi ya mwisho kuwakutanisha Uganda na Tanzania ikawa imewapa Uganda nguvu sana. Walikuwa wababe wa Tanzania mbele ya mashabiki wao pale Nambole. Leo hii wanakutana tena katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON, ambapo katika mechi ya mwisho ya kuwania kufuzu Afcon kuwakutanisha Uganda na Tanzania ilifanyika mwaka 1984 na...
Blog

Kondogbia akubaliwa kuitumikia Jamhuri ya Kati

Ombi la kiungo wa klabu ya Valencia ya Hispania Geoffrey Kondogbia la kutaka kuitumikia timu ya taifa ya Jamuhuri ya Afrika ya kati, limekubaliwa na shirikisho la soka duniani FIFA. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25, aliomba uthibitisho kutoka FIFA wa kutaka kutambuliwa kama raia wa Jamuhiri ya Afrika...
Blog

Camara ashauriwa kuachana na Soka.

Mshambuliaji kutoka nchini Guinea, Abdoul 'Razza' Camara ameshauriwa kuachana na soka, kufuatia matatizo ya moyo yanayoendelea kumkabili. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ambaye aliwahi kuitumikia klabu ya Derby County ya England msimu wa 2016–2017, amepewa ushauri huo na madakrati ambao wamekua akimshughulikia kimatibabu mara kwa mara. Ushauri huo...
Blog

Si rahisi Stars kuepuka kichapo pale Namboole dhidi ya Cranes

NI kikosi gani na mbinu gani atatumia kocha wa Uganda ‘Cranes’ Mfaransa, Sebastien Desabre dhidi ya Tanzania ‘Taifa Stars’ iliyochini ya Mnigeria, Emmanuel Amunike katika mchezo wa kundi la tatu Jumamosi hii kufuzu CAN 2019 katika uwanja wa Namboole, Kampala hakika sifahamu, lakini nataraji kuona mchezo wa kasi kutoka kwa...
Blog

NFF yamfungia kocha msaidizi wa Super Eagles.

Shirikisho la soka nchini Nigeria (NFF) limetangaza kumfungia kocha Salisu Yusuf kwa muda wa mwaka mmoja, sambamba na kumtoza faini ya dola za kimarekani 5000. NFF imefikia hatua ya kumuadhibu Yusuf mwenye umri wa miaka 56, baada ya kujiridhishwa alihusika na sakata la kupokea rushwa. Yusuf alionekana katika picha za...
Blog

Martinez amrudisha nyumbani Simon Mignolet

Mlinda mlango wa majogoo wa jiji la Liverpool, Simon Mignolet ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ubeligiji ambacho kitapambana katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Scotland kisha mpambano wa ligi ya mataifa ya Ulaya (UEFA Nations League) dhidi ya Iceland. Mignolet alikua miongoni mwa wachezaji walioitwa...
Blog

Kiungo wa Uganda awatamani Taifa Stars

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' Farouk Miya amesema atajitoa kwa nguvu katika mchezo wa kundi L kuwania kufuzu kwenye fainali za Mataifa Afrika mwakani dhidi ya Tanzania. Akizungumza mara baada ya mazoezi ya Leo asubuhi Miya katika uwanja wa Mandela, Miya amesema mchezo dhidi ya...
Blog

Yondani aachwa Stars!

Zikiwa zimebakia takribani siku mbili tu kwa Stars kucheza na Uganda jijini Kampala  beki wa kati wa klabu ya Yanga na Taifa Stars, Kelvin Yondani ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa kufuatia kupatwa na majeraha ya mguu. Kelvin Yondani sasa ataukosa mchezo huo muhimu wa kuwania kufuzu Afcon nchini...
1 74 75 76 77 78 85
Page 76 of 85