Paulo Nonga
Paul John Nonga, moja ya washambuliaji makini kabisa katika ligi kuu Tanzania bara mwenye uzoefu wa vilabu vya Tanzania na ligi yake.
Simba SC
Klabu ya Simba yenye makazi yake eneo la Msimbazi Kariakoo
Yanga SC
Mabingwa mara 29 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu yenye makazi yake mitaa ya Jangwani, Dar Young Africans maarufu kama Yanga