Biashara FC vs Azam FC

Baada ya kupoteza ugenini mbele ya Kagera Sugar Azam fc wanakwenda kukutana na Biashara Utd iliyo katika form ya hali ya juu baada ya mchezo wa mwisho kumfunga KMC bao 4 kwa 0

Kagera Sugar FC vs KMC FC

Kagera Sugar wanakwenda kuikaribisha Kaitaba KMC iliyotoka kujeruhiwa.KMC ni wazi hawatokua tayari kupoteza mchezo mwingine Kanda ya ziwa.

Stori zaidi