archiveArsene Wenger

Blog

Henry akingiwa kifua na Babu Wenger.

“Thierry Henry ana sifa zote za kuwa kocha mzuri na mwenye mafanikio” ni kauli ya kocha Arsene Wenger aliyoitoa Jumapili alipoulizwa kama kutimuliwa kwa Henry katika klabu ya AS Monaco kunaweza kumuathiri na kuharibu maisha yake ya ukocha. Wenger mwenye umri wa miaka 69 amesisitiza kuwa Henry bado ni kocha...
EPL

Wenger, Conte watajwa kuwa warithi wa Mourihno.

Kocha wa Manchester United Jose Mourihno ndiye kocha ambaye amechaguliwa kwa kura nyingi kuwa kocha wa kwanza kuondoka katika ligi kuu England akifuatiwa na Mark Hughes wa Southampton. Kocha huyo ambaye ameandikisha matokeo mabovu toka katika michezo ya kujiandaa na msimu amepewa alama 8/11 kuondoka katika kibarua hicho huku Mark...
EPL

Muda umempa uhalisia ambao Wenger hakuutegemea.

Kuna mengi sana hutokea kwenye maisha tofauti na mategemeo yetu. Maumivu huwa vazi letu kipindi tunapopata matokeo yaliyotofauti na mategemeo yetu. Kuna vingi huvitegemea na kuvisubiri kwa hamu vitokee ili vikamilishe furaha yetu lakini muda huja na uhalisia ambao hugeuka kuwa ukweli. Uhalisia ambao huonekana mchungu, uchungu ambao hugeuka kuwa...
Uhamisho

Mjerumani kurithi mikoba ya Wenger

Meneja wa zamani wa klabu ya Borussia Dortmund Thomas Tuchel, amejitokeza hadharani baada ya kusema kwamba yupo tayari kuchukua nafasi ya kocha wa Arsenal, Arsene Wenger pindi akiachana na timu hiyo. Ripoti kamili inaeleza kwamba kocha huyo wa zamani wa Dortmund, amepeleka ombi lake la kuhitaji kuifundisha Arsenal wakati ambapo...
EPL

Wenger tazama muda umekuacha

Miaka 21 imepita, miaka yenye rangi mbili ndani ya maisha ya Arsene Wenger ndani ya kikosi cha Arsenal. Hapana shaka rangi nyeupe ilitanda katika ngozi ya mwili wake ndani ya miaka 10 ya kwanza. Miaka ambayo alifanikiwa kupata mafanikio makubwa katika soka la England. Mafanikio ambayo yalimpa heshima kubwa sana...
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz