Tanzania yapewa onyo
Tanzania inahitaji kufuzu kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1980, huku Uganda wao wakirejea baada kushiriki fainali zilizofanyika Gabon 2017.
Onyango: Mechi dhidi ya Cape Verde ni kama fainali kwetu.
Nahodha wa timu ya Taifa ya Uganda "The Cranes" Dennis Onyango amesema Leo watajaribu kucheza kufa na kupona dhidi ya...