Tangazo la kujiondoa lilikuja kupitia video ya Mortada Mansour, rais wa klabu hiyo, ambaye alifukuzwa kazi na Wizara ya Vijana na Michezo, kwenye chaneli yake ya YouTube.
Baada ya timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" kufuzu michuano ya Mataifa ya Africa tayari TFF imeshaanza maandalizi ili tuwe na ushiriki mzuri katika michuano hiyo.