Ligi KuuKMC hali tete, majeruhi kibaoMwandishi Wetu1 year agoKatika hatua nyingine KMC FC imerejea Jijini Dar es salaam alfajiri ya leo ikitokea mkoani Singida na kwamba kesho itaanza kufanya maandalizi kuelekea katika mchezo unaokuja dhidi ya Tanzania Prisons