Madrid yatenga zaidi shilingi bilioni 930 kuwanasa wachezaji hawa ….
Kwa ushirikiano na Rais wa klabu hiyo Florentinop Perez, tayari wameshatenga Paundi millioni 300 zaidi ya shilingi bilioni 930 za kitanzania kwa ajili ya usajili mpya katika dirisha la usajili la kiangazi
Kane: Sihitaji mapumziko, mbona nipo Fit!
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tottenham Hotspurs, Harry Kane amesema anajisikia yupo fit pengine kuliko wakati wowote licha ya...