Min Son akipata cha moto jeshini!
Nyota huyo wa Tottenham Hotpurs Min Son alitakiwa kuhudhuria mafunzo ya kijeshi tangu mwaka jana.
Goli la Son laweka rekodi mpya Spurs.
Son alifunga goli hilo katika dakika ya 55 baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Christian Eriksen