Azam yathibitisha kumpiga bei Yahya Zayd nchini Misri.
Yahya anakuwa mchezaji wa pili ndani ya muda mfupi kutoka Azam kujiunga na timu za nchini Misri baada ya kiungo Himid Mao kujiunga na Petrojet mwaka jana,
Azam wajivunia rekodi hii kuelekea mtanange wao dhidi ya Mtibwa Sugar.
Kikosi cha Azam kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam Alhamis ya Disemba 27 kuelekea mkoani Morogoro ambapo watakuwa na mchezo...
Chirwa kuanza kuichezea Azam raundi ya pili.
Klabu ya soka ya Azam imewapa mapumziko wachezaji wake hadi Jumatatu watakapoingia kambini rasmi kujiandaa na mchezo wa ligi dhidi...
Rasmi: Ngoma kurejea uwanjani, mechi dhidi ya Lipuli.
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Azam FC Donald Ngoma huenda akaonekana kwa mara ya kwanza kunako michuano ya ligi...
Rasmi: Himid Mkami aachana na Azam
Klabu ya soka ya Azam ya jijini Dar es Salaam imethibitisha kuachana na kiungo Himid Mao Mkami ambaye amekulia katika...
Azam yawapa wachezaji wake likizo ndefu
Uongozi wa klabu ya soka ya Azam FC umewapa likizo wachezaji wake hadi Julai 3 mwaka huu ikiwa ni siku...