Obi Mikel kuibukia Ligi Kuu Misri!
Lengo langu ni kuendelea kucheza mpira wa miguu, na natumai nitapata fursa, sijakataa ofa yoyote iliyotolewa kwangu.
Obi kurejea timu ya Taifa kwa ajili ya AFCON.
Kiungo John Obi Mikel amethibitisha kwamba ataitumikia timu ya Taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’ kwenye fainali ya Mataifa Afrika zinazotarajiwa...