Nyota watakaompisha Ten Hag United wakiongozwa na Pogba
Pengine moja ya majina ya kushangaza zaidi ya wababe hao wa Uingereza wanasemekana kuwa tayari kuondoka katika klabu hiyo ni mhitimu wa akademi
Rashford waza kwa kuinama kisha inua sura tafakari kipaji chako
Hutokea mara chache sana kwa kijana chipukizi aliyeaminika na kutekeleza kile ambacho kocha alikitarajia, na vile vile hutokea mara chache...