MAVUGO ni zaidi ya MAKAMBO !
Mavugo alishindwa Simba kwa sababu mashabiki walimpa presha kubwa. Presha ambayo alishindwa kuimudu.
Kagere ametusahaulisha Mavugo, Chirwa anatukumbusha Kipre.
Anafanya makubwa zaidi ambayo Mavugo aliwahi kuvifanya. Meddie Kagere mpira wake wa mwisho una madhara makubwa sana kuliko mpira wa mwisho wa Mavugo.
Naitwa Laudit Mavugo.
Miaka ishirini na nane (28) iliyopita mishipa ya pua yangu ilipewa ruhusa na mwenyezi Mungu kuvuta hewa ya mji wa...