archiveMohamed Salah

EPL

Ukame wa mabao kwa Salah, wamlazimisha Klopp kuzungumza!

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema haoni kabisa kama mshambuliaji wake raia wa Misri Mohamed Salah anasumbuliwa na tatizo la msongo wa mawazo kutokana na kushindwa kuzitingisha nyavu katika michezo nane iliyopita. Salah ambaye msimu uliopita alifunga mabao 44 katika mashindano yote, msimu huu umekuwa mgumu kwake akifunga mabao 20...
Blog

Tuzo za BBC, watano watakaochuana kutangazwa Jumamosi.

Wachezaji watano wa kandanda watakaowania tuzo za mchezaji bora wa Afrika, tuzo ambazo zinatolewa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) wanatarajiwa kutangazwa Jumamosi ya Novemba 17 mwaka huu. Majina hayo matano yatatangazwa wakati wa kipindi maalumu cha Luninga (BBC African Footballer of the Year programme) mjini Lagos nchini Nigeria...
Kombe la Dunia

Mohamed Salah kukosa kombe la dunia?

Mshambuliaji wa Liverpool  na timu ya taifa ya Misri jana alipata majeraha ya bega katika mchezo wa fainali jijini Kyiev dhidi ya Real Madrid. Mchezo huo ulimalizika kwa Liverpool kupoteza kwa mabao matatu kwa moja mbele ya Real Madrid,  magoli ya Real Madrid yalifungwa na Karim Benzema na Gareth  Bale...
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz