Ligi KuuSimba chupu-chupu mbele ya Namungo, Kagere aiokoaMartin Kiyumbi4 years agoWashambuliaji Reliants Lusajo na Blaise Bigirimana ndio tishio zaidi kwenye kikosi cha Namungo ambapo kwa pamoja msimu huu wamefunga zaidi ya magoli 10.