Mabingwa AfrikaPengo la Okwi litazibika kwa masharti makuu manne, haya hapa.Sekwao Mwendi08/03/2019Simba wanahitaji kucheza kwa nidhamu kubwa sana, hasa “marking”, na aina ya mchezo wanaotaka kuucheza.