Bwalya atambulishwa rasmi Afrika Kusini
Bwalya alijiunga na Simba Agosti 2020 akitokea Power Dynamos ya Zambia kwa mkataba wa miaka mitatu.
Mshambuliaji mpya wa Simba, Chama waachwa timu ya Taifa.
Katika kikosi hicho kimejumuisha wachezaji kutoka Ulaya, huku kiungo wa Simba pia akiwemo.